Mfanyabiashara wa duka
la rejareja B.Mariam kilusu akielezea kuhusiana na biashara yake anayoifanya
Mama huyu amesema bidhaa zote ni nzuri isipokuwa jambo kubwa ni kuzingatia kuangalia ubora wa bidhaa ili kuepuka kuwauzia wateja vitu ambavyo vimepitwa na muda wake.
Bidhaa bora zinatambulika pale unaponunua kwani unageuza upande wa ganda au karatasi iliyobandikwa ili kuona muda wa bidhaa ile kuiosha muda wake.
BIDHAA ZINAZODUMU
Baadhi ya bidhaa
zinazodumu madukani bila kupitwa na mda wake.
Hizi ni zile bidhaa ambazo mara nyingi hazipitwi na mda wake lakini pia nyingine huuzika kwa wepesi zaidi,
Aina ya bidhaa sinazouzika kwa urahisi ni kama maji.bidhaa hii haichukui muda mrefu kukaa dukani kwani huwa ni hitaji muhimu kwa binadamu kwa mahitaji ya kila siku.
Bithaa nyingine zinazodumu bila{ kuexpire}kupitwa na muda wake ni kama uzi taa za umeme n.k
Hizi ni zile bidhaa ambazo mara nyingi hazipitwi na mda wake lakini pia nyingine huuzika kwa wepesi zaidi,
Aina ya bidhaa sinazouzika kwa urahisi ni kama maji.bidhaa hii haichukui muda mrefu kukaa dukani kwani huwa ni hitaji muhimu kwa binadamu kwa mahitaji ya kila siku.
Bithaa nyingine zinazodumu bila{ kuexpire}kupitwa na muda wake ni kama uzi taa za umeme n.k
BAADHI
YA BIDHAA ZIPATIKANAZO KWENYE MADUKA YA REJAREJA NCHINI
Katika picha ni aina
mbalimbali za bidhaa zinazopatikana kwenye maduka ya rejareja nchini ambazo
mara nyingi hupitwa na muda wake
Wafanya
biashara wa maduka ya rejareja nchini
wameshauriwa kuchukua bidhaa
zinazoendana na mauzo yao ili kuepuka kuuza bidhaa zilizopitwa na muda
wake{expire}.
Hayo
yamesemwa nammoja wa wafanyabiashara wa maduka ya rejareja B.Marium kilusu wakati
akiongea na AJTC Redio katika mtaa
wa kwa Morombo jijini Arusha, akielezea changamoto wanazokumbana nazo katika
biashara hiyo.
Amesema
uuzaji wa bidhaa zilizoisha muda wake imekuwa tatizo kubwa kwa watanzania kitu
ambacho husababisha baadhi ya maduka kuzorota kutokana kwamba mteja atakayebeba
bidhaa hatarud tena akifikiri bithaa zote ni sawa.
Hata hivyo
ameongeza kuwa bidhaa mbovu huleta madhara kwa watumiaji kutokana na matumizi
ya bidhaa husika kama sabuni ,mafuta,na vinywaji .
‘’sisi
wauzaji tunatakiwa tuwe makini wakati wa kwenda kufungasha mzigo tuhakikishe
tunachukua bidhaa ambazo hazijaharibika au ambazo haziharibiki haraka kulingana
na aina ya wateja wetu tuwapende tuwatunze ili kuweza kuendeleza soko letu bila
vikwazo vyovyote kutokea’’
Baathi ya
wananchi wa jijini Arusha wameiomba serikali kukagua maduka yenye bidhaa zilizopitwa
na wakati ili kuwasaidia watu wasiojua kutambua / kusoma au kuona kuwa ipi ni
nzuri {updated}.
BAADHI YA BIDHAA AMBAZO ZINAHITAJI
UMAKINI KATIKA KUANGALIA MDA WAKE {EXPIRE DATE}
Hizi ni baadhi ya bidhaa
ambazo asilimia kubwa ya wananchi hutumia sana pasipo kuangalia kuwa
zinamaliza lini mda wake wa matumizi.
Baathi ya bidhaa kama tomato sabuni za unga na nyinginezo humaliza mda kwa kukaa sana dukani .
zinamaliza lini mda wake wa matumizi.
Baathi ya bidhaa kama tomato sabuni za unga na nyinginezo humaliza mda kwa kukaa sana dukani .
No comments:
Post a Comment